Latest news from Tanzania
-
DODOMA : RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.The post Johari ateuliwa Mwanasheria Mkuu Tanzania first appeared on HabariLeo.
-
Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea Jumamosi, Novemba 8, 2025 baada ya kusimama kwa muda hivi...
-
Yanga na Simba zimepata ratiba rafiki ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu...
-
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina kuwa Kaimu kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ akichukua mikoba ya Hemed Suleiman ‘Morocco’ ambaye mkataba wake umesitishwa kwa...
-
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu, katika ripoti yake, kuhusu vurugu zilizotokea nchini Tanzania, siku ya upigaji kura Oktoba 29, imesema polisi walitumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji na kuhusika katika visa vingine vya ukiukwaji wa haki za binadamu.
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Dk Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.The post Dk. Talib ateuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar first appeared on HabariLeo.
-
Tunaahidi kurejea upya kwa nguvu zaidi kuendeleza utamaduni wetu wa kuwapa wasomaji wetu taarifa sahihi zenye kuwajengea uwezo kama ilivyo kauli mbiu yetu: Tunaliwezesha Taifa.
-
SERIKALI kupitia TANESCO imejizatiti kuwekeza katika vyanzo mseto vya nishati ya umeme ikiwemo mashamba ya umeme wa jua ili kuongeza uhakika wa nishati. Mradi wa mashamba haya umeanza kutekelezwa kwa kushirikiana na wawekezaji katika mikoa ya kanda ya Ziwa, hasa Bukombe na...
-
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kwa Wanachama ambao ni Wabunge wateule na Wanachama wenye sifa za kuwa Mbunge, kuwa fomu za kugombea nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zimeanza kutolewa leo Novemba 03 na kesho Novemba 04 Novemba,...
-
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kwa umma kuwa leo, Alhamisi tarehe 28 Oktoba 2025, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, John Heche, amechukuliwa na askari wa Jeshi la Polisi kutoka kituo cha Polisi cha Mtumba kwa madai kuwa anahitajika na RPC wa Dodoma.
Regional Newspapers in Tanzania (TZ)
Vyetu za magazeti na mitandao ya habari maarufu nchini Tanzania - Regional
-
Dullonet Tanzania ni tovuti ya habari inayohusisha masuala ya siasa, jamii, na uchumi nchini Tanzania. Inalenga kutoa taarifa muhimu na za haraka kuhusu matukio muhimu ya kitaifa.
-
Habari ni tovuti maarufu inayotoa taarifa za kila siku kuhusu masuala ya siasa, uchumi, na jamii nchini Tanzania. Inajulikana kwa ufanisi wake katika kutoa habari za kisiasa na kijamii kwa njia ya haraka.
Media Landscape and Newspapers in Tanzania:
Tanzania has a growing media landscape with both print newspapers and digital platforms that cover national and international news, politics, and social issues.
Popular Newspapers in Tanzania:
"The Citizen" – A leading daily newspaper in Tanzania, providing in-depth coverage of political and economic matters.
"Mwananchi" – A major newspaper focusing on national issues, including politics, business, and society.
Media Characteristics:
Digitalization: Tanzanian newspapers are increasingly moving online, offering articles and multimedia content through websites and mobile apps.