Latest news from South Africa
-
Wapatanishi wa Qatar wanajaribu kufufua mchakato wa amani na mazungumzo kati ya Kinshasa na AFC/M23. Wiki hii, watajaribu tena kuendeleza majadiliano kati ya serikali na kundi hili la waasi. Pia watatumia fursa ya uwepo wa wajumbe mbalimbali mjini Doha kwa Mkutano wa Pili wa...
-
Tangu Oktoba 26, mji wa El-Fasher umeangukia mikononi mwa wanamgambo wa RSF wa Jenerali Hemedti. Umoja wa Mataifa unazungumzia "vitendo vya kkatili," na mashirika kadhaa ya kibinadamu yanaripoti uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanywa dhidi ya raia.
-
Tume ya Ulaya inatoa euro Milioni 9 kama msaada mpya wa kibinadamu kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ili kushughulikia mahitaji ya kibinadamu ya kutisha yanayoikabili nchi hiyo. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatatu, Novemba 3, EU imebainisha kuwa ahadi hii...
-
Kiongozi wa kijeshi nchini Guinea, Mamady Doumbouya, ameingia rasmi katika kinyanganyiro cha urais baada ya hapo jana kuwasilisha rasmi karatasi za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea katika uchaguzi wa Disemba 28, uchaguzi unaolenga kurejesha utawala wa kikatiba kufuatia mapinduzi...
-
Mnamo Oktoba 26, Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vya Jenerali Hemedti, ambavyo vinapigana na jeshi la Jenerali al-Burhan tangu Aprili 15, 2023, vilitwaa udhibiti wa mji mkuu wa Jimbo la Darfur Kaskazini magharibi mwa Sudan.
-
Njaa imeenea katika majimbo mawili mapya ya Sudan, ikiwa ni pamoja na mji wa magharibi wa el-Fasher, ambao uko chii ya udhibiti wa wanajeshi wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) tangu wiki iliyopita, kulingana na ripoti iliyoagizwa na Umoja wa Mataifa na kuchapishwa mnamo...
-
Awamu mpya ya maandamano ya baada ya uchaguzi inaanza leo Jumatatu, Novemba 3, 2025, katika miji kote nchini Cameroon. Issa Tchiroma Bakary,aliyechukuwa nafasi ya pili katika uchaguzi wa urais, ambaye amekataa matokeo ya uchaguzi, anaitisha maandamano ya siku tatu, akiwataka...
-
Polisi nchini DRC imetangaza kuimarishwa kwa msako dhidi ya magenge yanayoitwa "Kuluna" katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa. Operesheni "Kanga Kanga" ("kukamatwa bila huruma") inakuja huku kukiwa na ongezeko la kutisha la uhalifu katika jiji kubwa lenye wakazi takriban...
Community Newspapers in South Africa (ZA)
Vyetu za magazeti na mitandao ya habari maarufu nchini Afrika Kusini - Community
-
Jewish Report ni gazeti linalotoa habari kuhusu jamii ya Wayahudi nchini Afrika Kusini. Linatoa taarifa kuhusu masuala ya kijamii, siasa, na utamaduni wa Wayahudi.
Media Landscape and Newspapers in South Africa:
South Africa has a robust media landscape, characterized by a variety of newspapers and digital platforms that cover politics, social issues, and economics. It has a rich tradition of free press and media diversity.
Popular Newspapers in South Africa:
"Mail & Guardian" β A leading newspaper in South Africa, offering in-depth analysis on political, social, and economic topics.
"The Star" β A major daily newspaper providing coverage of current events, business news, and social affairs.
Media Characteristics:
Digitalization: South African newspapers are increasingly adopting digital formats, offering content through websites and mobile apps.