Latest news from Uganda
-
Miezi 10 baada ya waasi wa M23/AFC kuudhibiti Mji wa Goma, Mashariki mwa DRC, wakaazi wa bado wanakumbwa na changamoto ya kupata huduma za kifedha, baada ya benki na vituo vingine vinavyotoa huduma hiyo kufungwa.
-
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu, katika ripoti yake, kuhusu vurugu zilizotokea nchini Tanzania, siku ya upigaji kura Oktoba 29, imesema polisi walitumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji na kuhusika katika visa vingine vya ukiukwaji wa haki za binadamu.
-
Baadhi ya marsharti yaliotangazwa nchini Tanzania wakati wa uchaguzi ikiwemo kukatwa kwa intaneti na marufuku ya watu kutembea yameanza kuondolewa.
-
Uchaguzi mkuu uliofanyika katika Jamhuri ya muungano wa Tanzania, na ambao uligubikwa na maandamano; mkutano wa Paris nchini Ufaransa kuhusu amani ya mashariki mwa DRC na eneo la maziwa makuu, siasa za nchini Kenya, Uganda lakini pia mauaji yaliyotekelezwa na kundi la RSF nchini...
-
Wapatanishi wa Qatar wanajaribu kufufua mchakato wa amani na mazungumzo kati ya Kinshasa na AFC/M23. Wiki hii, watajaribu tena kuendeleza majadiliano kati ya serikali na kundi hili la waasi. Pia watatumia fursa ya uwepo wa wajumbe mbalimbali mjini Doha kwa Mkutano wa Pili wa...
-
Tangu Oktoba 26, mji wa El-Fasher umeangukia mikononi mwa wanamgambo wa RSF wa Jenerali Hemedti. Umoja wa Mataifa unazungumzia "vitendo vya kkatili," na mashirika kadhaa ya kibinadamu yanaripoti uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanywa dhidi ya raia.
-
Tume ya Ulaya inatoa euro Milioni 9 kama msaada mpya wa kibinadamu kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ili kushughulikia mahitaji ya kibinadamu ya kutisha yanayoikabili nchi hiyo. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatatu, Novemba 3, EU imebainisha kuwa ahadi hii...
-
Waangalizi wa uchaguzi toka Jumuiya ya SADC, wamesema raia wa Tanzania hawakuweza kuonesha maamuzi ya yao ya kidemokrasia katika uchaguzi wa juma lililopita kutokana na kile ujumbe huo umesema kuwepo kwa vitisho, udhibiti wa taarifa na kukosekana kwa upinzani thabiti.
-
Zaidi ya watu 40 sasa wamefariki kufuatia maporomoko mengi ya ardhi yaliyokumba eneo la mpaka wa milimani kati ya Kenya na Uganda wiki iliyopita.
-
Zaidi ya watu 40 kufukia sasa wamethibitishwa kufariki katika mkasa wa maporomoko ya udongo ya wiki iliopita katika eneo la bonde la ufa nchini Kenya, mpaka na nchi ya Uganda.
-
Kiongozi wa kijeshi nchini Guinea, Mamady Doumbouya, ameingia rasmi katika kinyanganyiro cha urais baada ya hapo jana kuwasilisha rasmi karatasi za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea katika uchaguzi wa Disemba 28, uchaguzi unaolenga kurejesha utawala wa kikatiba kufuatia mapinduzi...
-
Mamlaka mjini Mombasa yamewakamata watu 27, wakiwemo watoto 20, wanaoshukiwa kuhusika katika shughuli kama za kidini zinazohusiana na kanisa. Kundi hilo lilikamatwa huko Changamwe kufuatia ripoti ya umma ya watoto waliokuwa wakishikiliwa katika mazingira mabaya na inadaiwa...
Business Newspapers in Uganda (UG)
Top newspapers and media portals in Uganda - Business
-
East African Business Week ni gazeti linalotoa taarifa kuhusu biashara na uchumi wa nchi za Mashariki mwa Afrika, ikiwa ni pamoja na Uganda. Linatoa habari kuhusu masoko, biashara, na fursa za uwekezaji katika ukanda wa Afrika Mashariki.
-
Investigator ni tovuti inayojikita kutoa uchambuzi wa kina kuhusu siasa na masuala ya kijamii nchini Uganda. Inatoa habari na taarifa za kina kuhusu matukio ya kisiasa na ya kijamii yaliyosikika zaidi nchini Uganda.
-
UGPulse ni tovuti maarufu inayotoa taarifa kuhusu siasa, burudani, na jamii nchini Uganda. Inatoa habari za kisasa kuhusu matukio ya kijamii, mashindano ya michezo, na maendeleo ya kisiasa nchini.
Media Landscape and Newspapers in Uganda:
Uganda has a growing media landscape, with both traditional print newspapers and digital platforms offering coverage of political, economic, and social issues.
Popular Newspapers in Uganda:
"New Vision" β Uganda's leading daily newspaper, providing national and international news coverage.
"The Observer" β A major Ugandan newspaper that covers politics, economics, and social affairs.
Media Characteristics:
Digitalization: Newspapers in Uganda are increasingly using digital platforms to expand their reach and audience, offering online content and mobile apps.