World Newspapers icon
World Newspapers

Explore the world's newspapers and news sites

Latest news from Uganda

This page refreshes its news content a few times a day by checking the latest updates from trusted newspaper RSS feeds. You’re always seeing the most recent headlines available.
  • Upatikanaji wa huduma za kifedha mjini Goma bado ni changamoto

    Miezi 10 baada ya waasi wa M23/AFC kuudhibiti Mji wa Goma, Mashariki mwa DRC, wakaazi wa bado wanakumbwa na changamoto ya kupata huduma za kifedha, baada ya benki na vituo vingine vinavyotoa huduma hiyo kufungwa.

    RfiRfiβ€’By AP - Moses Sawasawaβ€’β€’#e.a.c
  • Polisi walikiuka haki za binadamu nchini Tanzania: Amnesty International

    Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu, katika ripoti yake, kuhusu vurugu zilizotokea nchini Tanzania, siku ya upigaji kura Oktoba 29, imesema polisi walitumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji na kuhusika katika visa vingine vya ukiukwaji wa haki za binadamu.

    RfiRfiβ€’By REUTERS - Thomas Mukoyaβ€’β€’#e.a.c
  • Tanzania yaondoa makataa ya mtandao

    Baadhi ya marsharti yaliotangazwa nchini Tanzania wakati wa uchaguzi ikiwemo kukatwa kwa intaneti na marufuku ya watu kutembea yameanza kuondolewa.

    RfiRfiβ€’By via REUTERS - PRESIDENTIAL PRESS UNITβ€’β€’#e.a.c
  • Vurugu zaugubika Uchaguzi mkuu nchini Tanzania na hali nchini DRC

    Uchaguzi mkuu uliofanyika katika Jamhuri ya muungano wa Tanzania, na ambao uligubikwa na maandamano; mkutano wa Paris nchini Ufaransa kuhusu amani ya mashariki mwa DRC na eneo la maziwa makuu, siasa za nchini Kenya, Uganda lakini pia mauaji yaliyotekelezwa na kundi la RSF nchini...

    RfiRfiβ€’By Ruben Kakule Lukumbukaβ€’β€’#mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii
  • DRC: Upatanishi wa Qatar uko njia panda baada ya Kinshasa na AFC/M23 kutofautiana

    Wapatanishi wa Qatar wanajaribu kufufua mchakato wa amani na mazungumzo kati ya Kinshasa na AFC/M23. Wiki hii, watajaribu tena kuendeleza majadiliano kati ya serikali na kundi hili la waasi. Pia watatumia fursa ya uwepo wa wajumbe mbalimbali mjini Doha kwa Mkutano wa Pili wa...

    RfiRfiβ€’By RFIβ€’β€’#afrika
  • Baada ya El-Fasher kuwa chini ya udhibiti wa RSF, Chad inajiandaa kwa kuwapokea Wasudan 120,000

    Tangu Oktoba 26, mji wa El-Fasher umeangukia mikononi mwa wanamgambo wa RSF wa Jenerali Hemedti. Umoja wa Mataifa unazungumzia "vitendo vya kkatili," na mashirika kadhaa ya kibinadamu yanaripoti uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanywa dhidi ya raia.

    RfiRfiβ€’By AP - NRCβ€’β€’#afrika
  • EU yatoa euro Milioni 9 kama msaada mpya wa kibinadamu kwa DRC

    Tume ya Ulaya inatoa euro Milioni 9 kama msaada mpya wa kibinadamu kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ili kushughulikia mahitaji ya kibinadamu ya kutisha yanayoikabili nchi hiyo. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatatu, Novemba 3, EU imebainisha kuwa ahadi hii...

    RfiRfiβ€’By RFIβ€’β€’#afrika
  • Watanzania hawakuweza kuonesha maamuzi ya yao ya kidemokrasia kwenye uchaguzi

    Waangalizi wa uchaguzi toka Jumuiya ya SADC, wamesema raia wa Tanzania hawakuweza kuonesha maamuzi ya yao ya kidemokrasia katika uchaguzi wa juma lililopita kutokana na kile ujumbe huo umesema kuwepo kwa vitisho, udhibiti wa taarifa na kukosekana kwa upinzani thabiti.

    RfiRfiβ€’By REUTERS - Onsase Ochandoβ€’β€’#e.a.c
  • Idadi ya vifo kutokana na maporomoko ya ardhi ikiongezeka nchini Uganda na Kenya

    Zaidi ya watu 40 sasa wamefariki kufuatia maporomoko mengi ya ardhi yaliyokumba eneo la mpaka wa milimani kati ya Kenya na Uganda wiki iliyopita.

    RfiRfiβ€’By RFIβ€’β€’#e.a.c
  • Kenya: Idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya udongo yaongezeka

    Zaidi ya watu 40 kufukia sasa wamethibitishwa kufariki katika mkasa wa maporomoko ya udongo ya wiki iliopita katika eneo la bonde la ufa nchini Kenya, mpaka na nchi ya Uganda.

    RfiRfiβ€’By Hillary Ingatiβ€’β€’#e.a.c
  • Guinea: Kiongozi wa kijeshi Mamady Doumbouya kuwania urais

    Kiongozi wa kijeshi nchini Guinea, Mamady Doumbouya, ameingia rasmi katika kinyanganyiro cha urais baada ya hapo jana kuwasilisha rasmi karatasi za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea katika uchaguzi wa Disemba 28, uchaguzi unaolenga kurejesha utawala wa kikatiba kufuatia mapinduzi...

    RfiRfiβ€’By Β© Presidency of the Republic of Gu / via REUTERSβ€’β€’#afrika
  • Polisi wawakamata Watu 27 Mombasa kwa shughuli zinazodaiwa za Kidini

    Mamlaka mjini Mombasa yamewakamata watu 27, wakiwemo watoto 20, wanaoshukiwa kuhusika katika shughuli kama za kidini zinazohusiana na kanisa. Kundi hilo lilikamatwa huko Changamwe kufuatia ripoti ya umma ya watoto waliokuwa wakishikiliwa katika mazingira mabaya na inadaiwa...

    RfiRfiβ€’By RFIβ€’β€’#e.a.c

Tv Newspapers in Uganda (UG)

1 newspapers
tv
Gazeti za kihistoria
"New Vision" ilianzishwa 1986, moja ya gazeti kubwa nchini Uganda.
Vyombo vya habari vya kidijitali
Wananchi hufuata habari kupitia tovuti na apps za simu.
Ulinganifu wa Mkoa
Gazeti za ndani zinashughulikia matukio ya mikoa na majimbo.
Lugha
Kiingereza na Kiswahili vinatumika.
Maandishi maalum
Jarida kuhusu utamaduni, siasa na uchumi.

Top newspapers and media portals in Uganda - Tv

  • NTV ni kituo cha televisheni kinachotoa habari kuhusu siasa, uchumi, jamii, na michezo nchini Uganda. Kituo hiki kinajivunia kuwa na programu za uchambuzi na taarifa muhimu kuhusu matukio ya kisiasa na kijamii.

Media Landscape and Newspapers in Uganda:

Uganda has a growing media landscape, with both traditional print newspapers and digital platforms offering coverage of political, economic, and social issues.

Popular Newspapers in Uganda:

"New Vision" – Uganda's leading daily newspaper, providing national and international news coverage.

"The Observer" – A major Ugandan newspaper that covers politics, economics, and social affairs.

Media Characteristics:

Digitalization: Newspapers in Uganda are increasingly using digital platforms to expand their reach and audience, offering online content and mobile apps.

See also newspapers and online news sites from neighboring countries:
Browse all news sources from Africa