Latest news from Uganda
-
WHO inashauri ukanda wa Afrika kuwekeza zaidi katika takwimu zilizo sahihi katika mikakati ya kupambana na magonjwa ya milipuko
-
Wanasiasa nchini Tanzania wapo kwenye mshangao mkubwa baada ya kuuawa kwa mamia ya waandamanaji, wakati wa maandamano ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29.
-
Kwa mujibu wa FERWABA, Rwanda itawakilishwa katika vipengele vyote viwili β timu ya wanaume na timu ya wanawake.
-
Nchi za Afrika Mashariki za Kenya, Uganda na Tanzania, zimeendelea kushuhudia ongezeko la visa vya wakosoaji wa serikali kutekwa na kupotezwa. Hivi karibuni, wanaharakati wawili kutoka nchini Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo walitekwa zaidi ya mwezi mmoja uliopita nchini...
-
Rais wa Israel Isaac Herzog, amezuru Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Felix Tshisekedi. Kabla ya kuwasili Kinshasa, kiongozi huyo wa Israeli alizuru Zambia siku ya Jumatatu.
-
Mahakama nchini Gabon, imemhukumu jela mke wa rais wa zamani Ali Bongo na mwanaye wa kiume, miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuiba fedha za umma.
-
Mkurugenzi wa tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa, Volker TuΜrk, ametaka kufanyika uchunguzi wa kina wa mauaji na vitendo vingine vilivyotekelezwa wakati wa uchaguzi wa Octoba 29 nchini Tanzania, wito anaoutoa wakati huu ripoti zikiibuka kuwa huenda vikosi vya usalama...
-
Rais wa Israel, Isaac Herzog amewasili jijini Kinshasa nchini DRC kwa ziara fupi ya kikazi.
-
Kinshasa imeanzisha kampeni ya kuwataka waasi wa FDLR kuweka chini silaha na kujisalimisha kwa jeshi au kikosi cha MONUSCO, ikiwa na lengo la kuwarejesha nchini Rwanda.
-
Katika makala yetu leo tunaangazia pakubwa Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania ambapo Rais Samia Suluhu aliapishwa siku ya Jumatatu kuongoza muhula wa pili, hata hivyo ni uchaguzi ambao ulikumbwa na utata huku waangalizi kutoka jumuiya ya Afrika kusini SADC na wale wa umoja wa Afrika...
Top newspapers and media portals in Uganda - Luganda
-
Bukedde ni gazeti la Kiswahili la kila siku nchini Uganda. Linatoa taarifa kuhusu siasa, uchumi, na jamii, likieleza matukio muhimu kwa urahisi kwa wasomi wa Kiswahili nchini Uganda.
Media Landscape and Newspapers in Uganda:
Uganda has a growing media landscape, with both traditional print newspapers and digital platforms offering coverage of political, economic, and social issues.
Popular Newspapers in Uganda:
"New Vision" β Uganda's leading daily newspaper, providing national and international news coverage.
"The Observer" β A major Ugandan newspaper that covers politics, economics, and social affairs.
Media Characteristics:
Digitalization: Newspapers in Uganda are increasingly using digital platforms to expand their reach and audience, offering online content and mobile apps.